Ona Zaidi

Sasa unapata eneo pana kabisa la mtazamo wa skrini! CAMON CM ina muundo wa fremu bila mpaka wa 18:9, uwiano wa skrini unafikiwa kwa 85%. Ikiwa na skrini ya inchi 5.7 na ubora wa 1440*720, unaweza kujiburudisha kwa urahisi unapotazama video au kucheza michezo.

Selfi Zaidi

Una wasiwasi kuhusu ubora duni wa selfi zako wakati wa usiku? Kamera ya mbele ya MP 13 na flashi zinaweza kukusaidia kuonyesha selfi yako bora! Flashi ya mbele yenye ung’aavu wa 60lix ni fanisi katika kusafisha picha, na kusaidia kuimarisha ung’aavu wa picha wakati unapiga picha usiku.

Piga Picha Zaidi

Unataka kupiga selfi kwa haraka zaidi? CAMON CM inawezesha selfi ya haraka ukitumia alama ya kidole, hauhitaji kutafuta kitufe cha kupiga picha kwenye skrini, tumia tu alama ya kidole chako kwenye kifuniko cha nyuma. Hivyo tu! Rahisi sana na haraka.

Ng’aa Zaidi

Mbona tunatumia flashi nne za nyuma? Ili uweze kupiga picha maridadi kwa urahisi wakati wa usiku! Tunafanya ung’aavu kuwa bora zaidi mara 3 kuliko flashi ya kawaida. Na ikilinganishwa na flashi mbili, ni bora zaidi kwa ngozi nyeusi.

Unganisha Zaidi

Ukitumia 4G LTE, unaweza kutuma data, sauti, video au picha kwa haraka zaidi, na kuwezesha njia fanisi na rahisi zaidi ya kuunganisha na ulimwengu. Mitambo pia itaimarishwa kuwa thabiti na salama zaidi. Inafaa zaidi kwa maisha ya kisasa yenye kasi ya juu.

Lenga Zaidi

Jinsi ya kupiga picha ya ajabu ya aina ya bokeh? CAMON CM ina hali maalum kwa ajili ya picha ya aina hii. Sasa kamera itafanya usuli kuwa na ukungu na kulenga uso, na kufanya kila picha kuwa ya ubora wa ajabu.

Rahisi Zaidi

Shukrani kwa Kioo cha Tatu cha Corning cha 2.5D, kinaipa skrini athari bora zaidi ya mwonekano na mguso laini. Cha muhimu zaidi, ni kigumu zaidi na kuepuka skrini kuvunjika.

  • 0.1s

    Fingerprint Quick Snap