Skrini KUBWA kabisa ya inchi 6.2




13MP+2MP
Dual Rear Camera16MP
AI Clear SelfiePicha Safi za Selfi ya AI Zisizotarajiwa
Ikitumia teknolojia ya AI kwenye huduma ya selfi ya simu ya mkononi, CAMON 11 inakuletea picha safi ambazo hazikutarajiwa. Ikiwa na teknolojia ya 4 ndani ya 1 na teknolojia taalamu na flashi za mbele zinazoweza kurekebishwa, inaonyesha picha safi, ng’avu na inayopendeza.

MP 13 + MP 2
Kamera Mbili za Nyuma zaCAMON 11 inakuja na kamera mbili za nyuma, zinazokuwezesha kupiga picha za kupendeza za ukora wa studio. Hata katika matukio ya mwangaza mchache, inaweza kurekodi kila tukio na kukumbuka matukio hayo kwa niaba yako.

Utambuzi Otomatiki wa Mandhari
Ufanyaji Maridadi wa AI-Onyesha Ubora Wako
CAMON 11 ina athari mbalimbali na sahihi za ufanyaji maridadi, na kutimiza mahitaji yako ya umaridadi unapopiga picha ya selfi. Ikitumia teknolojia ya AI ili kufanya picha kuwa maridadi, inakupa selfi halisia na ya ajabu. Inaonyesha ubora wako kulingana na jinsia, umri na rangi ya ngozi yako.
Face ID
ya Haraka na Salama
Face ID ni njia ya haraka na salama ya kufungua. Kwa kuchukua maelezo ya uso, ikiwa na kasi ya utambuzi ya ms 500, CAMON 11 inaweza kutambua uso wako na kufungua simu yako papo hapo. Ukitumia Face ID, hakuna mtu anayeweza kufungua simu yako isipokuwa wewe, na usiri wako utalindwa.



Emoji za AR
Huunganisha mionekano ya binadamu na mionekano ya kuiga ya 3D kupitia teknolojia ya AR ili kuunda picha za vibonzo zilizopachikwa katika maandishi ili kukuwezesha kutumia unapochati na marafiki na familia yako.