Tazama Filamu ya Usanifu
Skrini KUBWA kabisa ya inchi 6.2

inchi 6.2

Skrini KUBWA kabisa ya HD+

19:9

uwiano wa skrini

87.5%

uwiano wa skrini na umbo

500

Vipimo vya ung'avu

16MP+5MP

Dual Rear Camera

24MP

AI Clear Selfie

16MP+5MP

Dual Rear Camera

24MP

AI Clear Selfie

Picha Safi ya Kujippiga Ukitumia Al
CAMON 11 Pro ina kamera ya mbele ya 24MP, inayosasisha simu za kamera za TECNO hadi kuwa za kizazi kipya. Kwa kutumia teknolojia ya Al kurembesha picha, hukutoa jinsi ulivyo na picha maridadi ya kujipiga. Kwa teknolojia ya 4 katika 1 na algorithi ya picha ya kitaalamu na taa za mbele zinazoweza kurekebishwa, inanasa picha yako halisi.
16MP+5MP
Kamera Maradufu ya Nyuma yenye
CAMON 11 Pro inaangazia kamera maradufu ya nyuma yenye 16MP+5MP mahiri zaidi, ambayo hukuwezesha kuunda picha zinazovutia na zenye ubora wa ajabu kama wa studioni. Hutoa picha safi na ng`avu katika mazingira yenye mwangaza mbaya.<
Utambuzi Otomatiki wa Mandhari

Mandhari ya

Usiku

Hali ya

Safuwima

Hali ya Wima ya

Mwangaza wa Nyuma

Hali ya

Usiku

Hali ya

Michezo

Hali ya

Anga

Hali ya

Hati

Hali ya Mwangaza

wa Nyuma

Ufanyaji Maridadi wa AI-Onyesha Ubora Wako
CAMON 11 Pro ina athari mbalimbali na sahihi za ufanyaji maridadi, na kutimiza mahitaji yako ya umaridadi unapopiga picha ya selfi. Ikitumia teknolojia ya AI ili kufanya picha kuwa maridadi, inakupa selfi halisia na ya ajabu. Inaonyesha ubora wako kulingana na jinsia, umri na rangi ya ngozi yako.
Face ID
ya Haraka na Salama
Face ID ni njia ya haraka na salama ya kufungua. Kwa kuchukua maelezo ya uso, ikiwa na kasi ya utambuzi ya ms 500, CAMON 11 Pro inaweza kutambua uso wako na kufungua simu yako papo hapo. Ukitumia Face ID, hakuna mtu anayeweza kufungua simu yako isipokuwa wewe, na usiri wako utalindwa.
Emoji za AR
Huunganisha mionekano ya binadamu na mionekano ya kuiga ya 3D kupitia teknolojia ya AR ili kuunda picha za vibonzo zilizopachikwa katika maandishi ili kukuwezesha kutumia unapochati na marafiki na familia yako.