



Fungua KAMERA mpya
CAMON 12 imerudi na Kamera Tatu Bora za Nyuma za AI za 16MP+2MP+8MP na matekelezo yake manne ya upigaji murwa. Picha Wazi Murwa / Pembe Pana Sana ya 120° / Upigaji Picha wa Makro Mno wa cm 2 / Athari ya Kimaajabu ya Bokeh, zinakupatia fursa ya kunasa matukio maridadi kwa pembe tofauti. Chukua hatua mbele ili kufungua kizazi kipya kabisa cha vifaa, ili kugundua urembo zaidi ulimwenguni. Fungua KAMERA Mpya kwa CAMON 12, utaona kuwa ulimwengu uko wazi, uko karibu, na ni mpana na angavu zaidi.







Skrini ya Mkato wa Nukta ya Fuwele ya 6.52”, Huduma Murwa ya MWONEKANO KAMILI
CAMON 12 ilichagua skrini ya Mkato wa Nukta ya 6.52” ili kupata huduma mpya ya utazamaji ya sinema. Uwiano murwa wa kingo-hadi-kingo wa 90% unaleta mwonekano mpana zaidi. Tunalenga kukuacha uone mengi zaidi.









































