Fungua Kizazi Kipya cha Kamera

Lenzi kuu ya 16MP inalenga ugunduzi wa mandhari wa AI na HDR ya AI; kwa kujumuisha mandhari anuwai ya upigaji na kukupa uboreshaji unaolingana wa AI, mtumiaji ataweza kupiga picha za kiasili na kimaridadi zaidi kupitia lenzi hiyo.

Onyesho la Nukta-Ndani la 6.55", Ya Kwanza Iliyokuwa Haikutarajiwa

CAMON 12 Air inachukua hatua ya kwanza kwa kutumia Onyesho la Nukta-Ndani la kibunifu. Kupitia uwiano wa kimaajabu wa skrini wa 90% na inchi 6.55, utapata huduma ya utazamaji mpana bila kifani. Chaguo la kipekee linaleta burudani mpya kabisa. Vikwazo vichache vya kuzuia mwonekano wako. Wakati huu, CAMON 12 Air inachukua hatua ya kwanza iliyokuwa haikutarajiwa.

Selfie kali, zenye haiba nzuri, zinaendeleza DNA ya simu za Camon ya Selfie angavu; Camon 12 Air inakupa uwezo wa kupiga
8MP Kamera ya Selfie kali ya 8MP
3D Uzuri wa uso wa "3D Stereoscopic"
AI Hali ya urembo ya AI
Video Uzuri wa Video
Mwingiliano wenye Ucheshi - Kibandiko cha AR
Kibandiko cha AR kinafinika maumbile 220+ ya uso na kinasaidia utambulisho kwa pembe ya 120°. Vipengele vya ujanibishaji na urembezaji wa mwangaza pia vinazingatiwa. Toleo maalum lililobinafsishwa la Klabu ya Kandanda ya Manchester City limejengwa kimaajabu kama tuzo murwa.
picha nzuri. Kanuni ya "mosaic" iliyoboreshwa hufanya picha kua safi na angavu zaidi. Hali ya uzuri ("beauty mode") imeboreshwa kikamilifu, hakuna tena kurekebisha kirahisi, sasa ikiwa na hali ya uzuri ya "3D Stereoscopic" inafanya selfie zako kua asili na zenye haiba zaidi. Hali ya uzuri pia imeongeza wigo wake hadi kwenye
Vuguvugu, Pasteli na Usanifu wa Upinde Aurora
Kutokana na mapumbazo ya Aurora, tunanasa rangi maridadi ya kivuli chake na kuiweka kwenye jalada la nyuma la CAMON 12 Air. Kwa kuchanganya hisia ya pasteli na vuguvugu kupitia usanifu wake wa upinde na ulaini wa makroskopu wa uchongaji, , CAMON 12 Air bila shaka ni kifaa kisichokuwa na kifani.
Kwenye mazingira ya kawaida, CAMON 12 Air inakupa picha yenye uwazi murwa kwa Kamera Tatu Bora za Nyuma za AI zilizo nzuri zaidi. Picha zinazopigwa na CAMON 12 Air zitavutia na zitakuwa wazi bila kifani.
16+2+5MP Kamera Tatu Bora za AI za 16+2+5MP Picha Wazi Murwa Pembe Pana Sana ya 120° Upigaji Picha wa Makro wa cm 2 Athari ya Bokeh
Lenzi ya pili inaleta picha za pembe pana sana ya 120° na huduma ya upigaji picha wa makro mno wa cm 2.
Hatukuachi tu uuangalie ulimwengu kwa jumla, bali pia tunanasa urembo mzuri zaidi unaokuzunguka.
Athari ya kimaajabu ya Bokeh inaangazia picha kuu ya uso na inatia ukungu kwenye usuli, na kuifanya picha ya uso ionekane vizuri kabisa.
Betri ya 4000mAh, Endelea Kutumia Kifaa Kwa Muda Mrefu Zaidi
Kwakua imejihami na betri ya maisha marefu ya 4000mAh, huna wasiwasi wa kutafuta pahali pa kuchaji pale taa ya ishara ya betri inapogeuka nyekundu. Utapata muda zaidi wa kufanya shughuli au kujiburudisha kupitia CAMON 12 Air. Kwa ajili ina utekelezaji wa betri yenye nguvu, utaweza kuendelea kutumia kifaa na kujifurahisha zaidi kwa muda mrefu zaidi.
ROM ya 32GB + RAM ya 3GB, Huduma Nzuri Yenye Uwiano
Hakuna haja ya usafishaji wa mara kwa mara ili kupata hifadhi zaidi, ROM ya 32GB inakupatia uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu murwa zaidi na faili muhimu. RAM ya 3GB inaleta kasi ya upesi na imara zaidi. Kuongea na marafiki, kusikiliza muziki, kuvinjari mitandao ya kijamii, na kucheza muziki, zote kwa wakati mmoja; CAMON 12 Air bado inaweza kukupatia huduma nzuri ya mtumiaji yenye uwiano.
Mfumo Ulioboreshwa Hivi Karibuni, Maisha Janja Yanakuzunguka
Furahia maisha janja kwa kiolesura cha mtumiaji na mfumo endeshi ulioboreshwa hivi karibuni wa CAMON 12 Air. Mabadilko murwa na mapya zaidi bila shaka yataboresha uzoefu wako wa mtumiaji na yanastahiki uvinjari wako. Paneli janja, Usafishaji janja wa picha na shughuli zingine pia zina masasisho muhimu. Kwa kuja na mfumo mpya kabisa wa kusasisha, tunalenga kurahisisha uwezo wa maisha janja kupitia CAMON 12 Air.