Watch The Video
Usanifu Maridadi
Usanifu maridadi wa rangi na mistari ya kipekee ya uhariri yanakuja pamoja ili kukuletea CAMON 15 Premier mpya. Kwenye mazingira tofauti ya mwangaza, athari tofauti za kubadilisha uhariri zinaweza kuonekana.
Mieko Minne
Iliyojihami kwa mieko minne kwenye moduli ya kamera ya nyuma, bila kujali kuhusu mazingira yenye giza, daima utaweza kupiga picha wazi na angavu.
Upigaji Picha Wazi Murwa wa 8x
Lenzi ya kwanza ya SONY - 64MP, hata pia kuza picha kwa mara 8x baada ya kupiga picha, kila kipengee kinanaswa na kuonyeshwa kwa uhalisi. Uwazi wa picha nzima umesombezwa kwa 68%. Bofya upigaji ili kunasa mwonekano maridadi na kumbukumbu zisizosahaulika, utaona kuwa kila kipengee kinaonyeshwa kwa uwazi na uhalisi.
Pikseli nne zilichanganywa na kuwa megapikseli ya maikroni 1.6 ili kuunda picha za usiku zenye ubora wa juu. Sensa kubwa ya 1/2” inanasa mwangaza zaidi usiku, ambayo inazalisha picha angavu zaidi na yenye fujo chache.
Kwa CAMON 15 Premier mpya kabisa, nasa vipengee zaidi usiku na mchana. Shuhudia miujiza mwenyewe.
2X
4X
6X
8X
Lenzi Murwa ya Usiku
Mara hii, CAMON 15 Premier inachukua hatua isiyotarajiwa ya kuanzisha TAIVOS™ (suluhisho la kuboresha mwonekano wa busara bandia la TECNO) ili kukuletea picha murwa ya usiku iliyo wazi.
Lenzi Murwa ya Usiku inatekeleza usahihishaji bora wa kingo na upunguzaji bora wa fujo kwenye fremu kadhaa, ambayo inazalisha picha ya usiku iliyo wazi na halisi zaidi. Punguza ufichuzi kupita kiasi ili kurejesha mandhari halisi ya usiku kwenye mielekeo yote, punguza masafa ya picha na mwangaza kwa wakati mmoja, ili kupiga picha angavu kwenye mazingira ya giza. Nasa urembo wa usiku.
70°
85°
100°
115°
Pembe Pana Kali ya 115°
Piga picha kwa Pembe Pana Kali ya 115°, usiwe na wasiwasi tena kuhusu kutonasa kikamilifu mandhari maridadi. Kipengele cha kupinga-uumbuaji kinaruhusu mandhari yarekodiwe vile yalivyo kihalisi.
Upigaji Picha wa Makro wa cm 2
Picha ya karibu mno ya cm 2 inakuruhusu ugundue urembo usioonekana kwenye vitu vidogo vinavyokuzunguka.
Kurekodi Video Fupi
Video fupi zenye ucheshi zimewasili! Mitindo 9 ya kuchuja, uboreshaji urembo wa AI, usaidizi wa kurekodi kwa pembe pana, uchezaji kwa upesi na mpangilio wa matoleo mawili ya sek 15/sek 60. Rekodi kumbukumbu zaidi zisizosahaulika!
Athari ya Bokeh ya Usuli Iliyosanifiwa Upya
Athari ya Bokeh ya Usuli imesombezwa kikamilifu, ambayo inazifanya picha za uso ziilenge vizuri zaidi picha yote, na vipengee vinasindikwa kwa makini.
Ujengaji Mwili wa AI
Ujengaji Mwili wa kwanza unaotegemea AI umejumuishwa kulingana na maumbo tofauti ya miili kwenye sekta, ambayo inakusaidia ujenge mwili wenye umbo unaotaka. Umbo la kuvutia na kudumisha afya linajengwa unapotaka, ambalo linaonyesha urembo wa mipindo ya mwili.
HDR Kali
HDR Kali inadhibiti sehemu ya mwangaza isifichuke kupita kiasi, ili kuonyesha sehemu za giza zilizo bainifu na dhahiri zaidi. Kitolewa kisichopoteza rangi kinaonyesha kila kipengee na kinafanya picha binafsi ya uso iwe na rangi zaidi na iwe dhahiri zaidi.
Ugunduzi wa Mandhari wa AI
Mandhari mseto ya picha za uso yenye vipimo kadhaa ambayo imeongezwa upya inapatikana, ambayo inajumuisha mandhari rahisi na mseto kwa wakati sawia. Kiwango cha kugundulika kimefika 90%. Pindi mandhari yanapogunduliwa, itatoa uboreshaji linganifu wa AI, ambayo inakuruhusu upige picha hai na bainifu zaidi.
Ugunduzi wa Mandhari wa AI
Mandhari mseto ya picha za uso yenye vipimo kadhaa ambayo imeongezwa upya inapatikana, ambayo inajumuisha mandhari rahisi na mseto kwa wakati sawia. Kiwango cha kugundulika kimefika 90%. Pindi mandhari yanapogunduliwa, itatoa uboreshaji linganifu wa AI, ambayo inakuruhusu upige picha hai na bainifu zaidi.
Portrait Backlight portrait Backlight Food
Kamera ya POP-UP ya 32MP
Kamera ya POP-UP ya 32MP
Kanuni pepe zilizosombezwa upya zinatoa athari za urembo zilizojengewa ndani za mwangaza, ambayo inakuokolea muda wa kujirembesha zaidi.
Toleo jipya la HDR, bila kujali mazingira, daima utaweza kupiga picha binafsi ya uso iliyo angavu na wazi.
Kamera ya POP-UP ina mwitiko maizi wa kujikinga na kuanguka na ukinzani madhubuti dhidi ya ukatizaji wa smaku, ambayo inakuhakikishia uzoefu hariri wa kupiga picha binafsi.
Unapoamilisha kamera ya mbele, athari za sauti na mwangaza murwa na wa kuvutia pia yanaambatana nayo.
6.6"
Mwonekano Kamili Murwa wa 6.6"
91.2%
Uwiano wa Skrini Kuu wa 91.2%
19.5:9
Skrini Tumbukizi ya HD 19.5:9
Tazama Kupita Mipaka
Mwonekano Kamili Murwa wa 6.6" unakupatia uzoefu wa mwonekano wenye rangi, uwazi, na upana zaidi. Uwiano wa skrini kuu wa 91.2% na usanifu jumuishi wa kamera inayojitokeza unauhuisha uzoefu wa mwonekano kamili wa kisinema. Furahia skrini isiyokuwa na mipaka.
6.6"
Mwonekano Kamili Murwa wa 6.6"
91.2%
Uwiano wa Skrini Kuu wa 91.2%
19.5:9
Skrini Tumbukizi ya HD 19.5:9
Tazama Kupita Mipaka
Mwonekano Kamili Murwa wa 6.6" unakupatia uzoefu wa mwonekano wenye rangi, uwazi, na upana zaidi. Uwiano wa skrini kuu wa 91.2% na usanifu jumuishi wa kamera inayojitokeza unauhuisha uzoefu wa mwonekano kamili wa kisinema. Furahia skrini isiyokuwa na mipaka.
Urembeshaji 3.0, Binafsisha Urembo Wako Mwenyewe
Urembeshaji unaoweza kubinafsishwa unapatikana kwa rangi ya ngozi yenye aina tatu za athari za urembo zinazojengewa ndani, marekebisho anuwai kwenye kiolesura cha UI na kihakiki cha muda halisi kwa mbofyo mmoja.

Athari ya Bokeh ya Picha ya Uso 2.0
Utakasaji kingo umeboreshwa sana, ambayo imeifanya athari ya bokeh ya picha ya uso ilenge zaidi kipengee kikuu cha picha ya uso huku inatia ukungu kimaizi yanayobakia.
Mwingiliano Cheshi wa Kijamii
Ili kuendeleza mtindo wa Kibandiko cha AR kilichopita na Emoji ya AR, tumesasisha Vibandiko vya AR 12 na Emoji za AR 4 za kipekee za Klabu ya Kandanda ya Jiji la Manchester kama tuzo murwa.
Mwingiliano Cheshi wa Kijamii
Ili kuendeleza mtindo wa Kibandiko cha AR kilichopita na Emoji ya AR, tumesasisha Vibandiko vya AR 12 na Emoji za AR 4 za kipekee za Klabu ya Kandanda ya Jiji la Manchester kama tuzo murwa.
Ili kupata mwingiliano cheshi zaidi wa kijamii, ishara za GIF zimezinduliwa. Imesanifiwa kimaalum kama toleo la Klabu ya Kandanda ya Jiji la Manchester X TECNO, ili kuzalisha ishara cheshi za GIF kwa mbofyo mmoja. Sasa, unaweza kuonyesha hisia zako kwa kutumia GIF maridadi!
Tabo ya Kijamii
Kisandulu cha Kisaidizi cha WhatsApp kilicho bora kabisa chenye vipengele kadhaa vinavyopatikana ili kuongeza ucheshi kwenye mazungumzo na marafiki. Kisanduku cha zana chenye nguvu kinachoweza kuundia Emoji ya DIY, kuhifadhi hali ya sasa ya WhatsaApp, na kuufungua mweko kiotomatiki unapokuwa unapokea simu ya WhatsApp. Vipengele zingativu zaidi vimetayarishwa.
Mandhari ya Giza
Mandhari ya Giza mapya hayapunguzi mwasho wa macho kutokana na skrini tu, bali pia inaokoa nishati na kupanua maisha ya betri kwa ufanisi.
4000mAh
Betri yenye nguvu ya 4000mAh inakidhi mahitaji yako ya nishati ya umeme kwenye kazi na maisha yako ya kila siku.
128GB ROM+6GB RAM
ROM ya 128GB inatoa nafasi zaidi ili kuhifadhi vipendwa vyako, bila kuwa na wasiwasi wa usanifu wa mara kwa mara ili kupata hifadhi zaidi. RAM ya 6GB inatoa utekelezaji imara na wenye ufanisi wa juu. Kufanya shughuli kadhaa kwa mara moja na kucheza michezo kunazidi kuwa na kasi na uhariri zaidi.
Face Unlock
Kufungua kwa Uso 2.0 kunayatambua kiotomatiki macho yako yaliyofumbwa, ambayo inaboresha sana usalama na faragha ya simu yako.
Phone
Theme
Camera
Settings
TECNO Spot
Face ID
Deskclock
Wallpaper
HiOS 6.0 Inayotegemea Android Q
Sema habari kwa mfumo endeshi uliosasishwa upya - HiOS 6.0. Inayotegemea Android Q, yenye mfululizo wa shughuli mpya zilizoongezwa. HiOS 6.0 inaongeza maisha mapya kwenye njia unayopata uzoefu wa simutamba za mfululizo wa TECNO CAMON 15. Inayoendeshwa kwa mfumo mpya kabisa, inafungua dirisha lipya linaloelekea kwenye maisha maizi yenye rangi maridadi.
Pata maelezo zaidi