[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, 6.15mm Ultra Slim Metal Body

Mwili Mwembamba Sana wa Chuma wa 6.15mm

Ikijivunia ncha nyembamba sana ya 6.15mm, Phantom 6 ni mojawapo ya simu zenye kamera mbili za nyuma zilizo nyembamba zaidi na kuimarisha maisha kwa kuyaweka kwenye ngazi ya juu. Imeundwa kwa ubunifu kwa kutumia chuma mseto cha aluminiamu, na ncha ya chuma kimoja iliyofanywa thabiti kwa teknolojia ya uumbaji ya nano ili kuifanya yenye nguvu zaidi. Usawa sahihi ukishirikiana na umaridadi ili kuunda simu maizi ya hali ya juu yenye vipengee vya uangalifu.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Advanced 13MP AF & 5MP Dual Back Camera

Kamera Mbili za Nyuma za Hali ya Juu za MP 13 AF na MP 5

Kamera ya MP 13 ya AF ya Sony IMX258 ikishirikiana na kamera ya MP 5 ya Samsung ili kuleta mfumo wa hali ya juu wa kamera mbili, ambao umehitimishwa kwa apecha pana ya F/2.0 ili kuruhusu mwangaza zaidi. Anzisha kamera mbili kwa pamoja ili kupiga picha bunifu zaidi zenye kina bora zaidi wakati wowote unaotaka, hata katika mwangaza mchache, na ufurahie kikamilifu usafi kama wa kamera ya kitaalamu. Kwa mguso mmoja, utawezesha utendaji wa kuweka fokasi tena ili kuangazia kipengee chochote unachopendelea kwenye picha ili kupata raha zaidi.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, 5.5" FHD AMOLED Super Clear Screen

Skrini Safi Ajabu ya AMOLED ya FHD ya 5.5"

Skrini pana ya AMOLED ya FHD ya 5.5" ina pembe pana ya 180° ya kutazama ili kupata uwezo imara zaidi wa kutazamia. Badala ya 70% ya rangi halisia ya skrini ya kawaida ya LCD, hii ina 100% ya rangi halisia ili kutoa rangi maridadi kwa kina. Uwiano wa 60000:1 unafanya iwe thabiti kuonyessha ulimwengu safi na maridadi chumbani au kwenye mwangaza wa jua.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Better Fluid Experience over the Last CPU

Kuchaji Haraka Upesi kwa Upande Wowote Ukitumia Type-C

Teknolojia ya hivi sasa zaidi ya kuchaji haraka upesi inatumika kulingana na kituo cha pini 24 cha Type-C, na kuongeza kasi ya uwasilishaji umeme kwa kiwango kikubwa na kuongeza kasi ya kuchaji kwa 30%. Kwa dakika 10 tu za kuchaji, utakuwa na dakika 124 za kutumia. Uwezo wa kuchaji kwa upande wowote wa Type-C kunarahisisha mchakato wa kuchaji hata zaidi. Shika upande wowote wa kebo ukiwa juu na uunganishe bila kupoteza wakati.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, 32GB + 3GB, Smooth Multitasking and Large Storage

GB 32 + GB 3, Kufanya Shughuli Nyingi kwa Pamoja na Hifadhi Kubwa

RAM ya GB 3 inawezesha ufanyaji shughuli nyingi kwa pamoja bila matatizo. ROM ya GB 32 inakupa nafasi tosha ya kuhifadhi hadi nyimbo 5,120 za umbizo wa mp3 au filamu 20 za HD. Inenepeshe kwa urahisi hadi GB 128 ikiwa unahitaji nafasi zaidi kwa ajili ua nyimbo, filamu na picha uzipendazo.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Reversible Type-C Light Speed Charge

Reversible Type-C Light Speed Charge

The latest light speed charging technology is applied to match a 24-pin Type-C port, substantially lifting the transmission speed of high-voltage current and raising charge speed by 30%. With only 10 minutes of charge, you'll have 124 minutes of talktime. The reversible Type-C further eases the recharging process. Hold either side of the cable up to get linked in no time.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Boom NB01 Earpod

Iapodi za Boom NB01

Iapodi zenye msokotano wa chuma za Boom NB01 zinaweza kubadilishwa na zinalingana na Phantom 6 ili kutoa bass nzito. Inatoa chaguo mbili, Hali ya Kawaida na Hali ya Mdundo, ili kukupa chaguo mbili tofauti za sauti ambapo kila mdundo ni safi na unaofurahisha zaidi. Zama ndani ya athari nzito zaidi za bass zinazowezeshwa na Hali ya Mdundo, na ufurahie hisia ya tamasha kwenye simu.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, All-in-One Ultra Slim Midframe

Upande wa Nyuma Uliokunjwa kwa Uangalifu ili Kutoshea Vizuri Mkononi

Utashangazwa na muundo mwembamba sana wa 6.15mm unapouona mara ya kwanza. Ikiwa imekunjwa kidogo upande wa nyuma, inatoshea vizuri zaidi kwenye kiganja chako na unapata starehe unapoishika.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Durability Beyond the Ultra Slim Body

Fremu Moja ya Kati Nyembamba Sana

Fremu ya kadi ya chuma nzima imeundwa ili kuimarisha nguvu na usahihi wa kina. Ili kufanikisha hilo, chuma mseto cha msururu wa 6000 kimechaguliwa ili kuunda sehemu nyembamba sana, ambayo ni thabiti katika kushikilia mwili wa simu. Inahitaji ubunifu wa hali ya juu na ufanyikazi wa kipekee ili kulainisha nyenzo hiyo katika kila hatua ya mchakato, inayohusisha michakato mingi ya uimarishaji na teknolojia ya hali ya juu ya kuumba ya nano ili kukose utofauti na kukose mwanya, na kutengeneza mwili mmoja bila hitilafu wa kifaa hiki.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Subtly Curved Back for Perfect Grip

Kudumu Zaidi ya Mwili Mwembamba Sana

Ikiwa na Kioo cha Juu cha Corning Gorilla Glass 3, fremu ya chuma mseto cha aluminiamu, kuimarishwa kupitia ncha za chuma, na kutamatishwa kwa kifuniko kisichofunguka cha betri, Phantom 6 imeundwa ikiwa na mifumo nne ya ulinzi ili idumu zaidi.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Dual SIM Dual Standby, Expandable to 128 GB

SIM Mbili Zinatumika kwa Pamoja, Inaweza Kunenepeshwa hadi GB 128

Trei za kuweka kadi ya SIM ni za kudumu muda mrefu, na zinaweza kuunganishwa hadi mara 1000. Zimeundwa kwa ungalifu ili kuhakikisha haziachi mwanya na zina rangi sahihi, ili kupata usawa na umaridadi jumla. Simu inayoweza kutumia SIM mbili kwa pamoja inakuwezesha kuchagua watoa huduma za simu uwapendao na ufurahie huduma bora zaidi. Kumbukumbu inaweza kunenepeshwa hadi GB 128, inakusudiwa kukupa nafasi tosha kuweka programu zako zote uzipendazo.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Aesthetic Symmetry

Usawa Maridadi

Mianya yote imatawanyika kwa usawa upande wa chini na kando, na upande wa nyuma umesawzishwa kwa njia maridadi ili kukupa simu maridadi kijumla.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, 13MP & 5MP, Capture Beauties with Crystal Clarity

Kuwa wa Kipekee

Muundo wa kina wa kamera umo katika sehemu ya chuma ili kukupa mguso rahisi. Muundo huu wa kisasa unaashiria mtindo wako na kukufanya uwe wa kipekee miongoni mwa marafiki.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Refocus to Balance Your Creation with Transient Moments

Refocus to Balance Your Creation with Transient Moments

Kihisio cha kamera ya nyuma ya MP 5 ya Samsung kinagundua umbali kati ya lenzi na vipengee huku kamera ya nyuma ya MP 13 ya Sony ikirekodi kila tukio maridadi kwa usafi na kuunda picha za HD za hadi MP 50. Ikishirikiana na apecha pana ya F/2.0, inaruhusu mwangaza zaidi kwa 35% ili kupata picha ng’aavu zaidi bila kujali hali za mwangaza wa nje. Kumbukumbuzinapata uhai unapozishiriki na marafiki au unapotazama picha peke yako, huku ukifurahia huduma ya kufurahisha zaidi ya upigaji picha.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Stand You Out

Weka Fokasi Tena ili Kusawazisha Ubunifu Wako katika Matukio ya Muda

Utendaji wa kuweka fokasi tena unakuwezesha kurekodi matukio ya muda mara moja na kusindika picha baadaye ili kuimarisha dhana zako bunifu. Chagua eneo lako ulipendao ili kuangazia hilo na uweke ukungu kwenye maeneo yaliyosalia. Angazia eneo lolote ndani ya umbali wa fokasi wa mita 2 ili kupata athari bora.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Smart Capture Nonstop Fun

Badilisha Usuli Upendavyo

Piga picha mahali popote bila kuchelewa na ubadilishe usuli upendavyo. Unaweza kuchagua mandhari uyapendayo zaidi au jumba ulipendalo ili kuishi maisha tofauti mara moja na ufurahie kikamilifu mchakato wa kutengeneza picha bunifu.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Swap the Background to Fit Your Taste

Ubunifu katika Mwangaza Mchache Ukisaidiwa na Flashi ya Mwangaza Halisi

Matukio mazuri yanaweza kutokea wakati wowte na hayatasubiri. Kamera mbili za nyuma zikisaidiwa na Flashi ya Mawangaza Halisi, zinaangaza mwangaza sawia na mwangaza asilia ili kupata athari asilia. Unaweza tarajia kupiga picha maridadi wakati wowote, hata katika mwangaza mchache.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Low Light Creation Aided by True Tone Flash

Rekodi kwa Umaizi Raha Isiyosita

Phantom 6 ina utendaji wa ajabu sawia na kamera ya kitaalamu. Inapiga picha za hadi MP 50, inavuta karibu 4X, inaruhusu hali mpya ya panorama na kuimarisha hali ya usiku, na kukuwezesha kupiga picha zenye maelezo ya kina, kurekodi matukio yaliyo mbali kwa usafi wa juu, kujumuisha marafiki zaidi katika picha moja na kufurahia upigaji picha safi wakati wa usiku.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, 83° Wide Angle to Fit More in One Selfie

Rekodi kwa Umaizi Raha Isiyosita

Phantom 6 ina utendaji wa ajabu sawia na kamera ya kitaalamu. Inapiga picha za hadi MP 50, inavuta karibu 4X, inaruhusu hali mpya ya panorama na kuimarisha hali ya usiku, na kukuwezesha kupiga picha zenye maelezo ya kina, kurekodi matukio yaliyo mbali kwa usafi wa juu, kujumuisha marafiki zaidi katika picha moja na kufurahia upigaji picha safi wakati wa usiku.

[Translate to tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:] TECNO Phantom 6, Eye Scanner V2.0

Eye Scanner V2.0

Teknolojia ya bayometriki ya hali ya juu inakupa usalama kamili. Phantom 6 ina kipengee cha Eye Scanner V2.0, kinachokuwezesha kufungua simu kwa haraka zaidi kwa 300ms kuliko matoleo ya hapo awali. Skrini, inayoonyesha ulimwengu maridadi na ng’aavu mkononi mwako, inageuka kuwa flashi inayogundua mwangaza uliopo na kuongeza mwangaza unapohitajika ili kuwezesha kufungua kwa hara katika mwangaza mchache.