Advance Your Beauty

Great design talks. Take a look at Phantom8, and you will be amazed at its attractive back cover finish. The back catches and reflects light in a subtle way - it bounces long rays of light off it and waves them back and forth as you move it. Eye-catching diamond fire design makes Phantom8 a fashionable accessory of your daily look. It truly doesn’t look like any other phone you might have used before.

Mfumo wa Kamera Mbili, Gwiji wa Upigaji Picha

Badala ya kamera moja ya nyuma, Phantom8 ina mbili: kihisio cha pembe pana cha Sony cha MP 12 na kihisio cha picha ya mbali cha MP 13. Kihisio cha kwanza kikirekodi kina cha eneo na kihisio cha pili kikitengeneza picha kulingana na data hiyo, vipigaji picha viwili vyenye nguvu vya Phantom8 vinashirikiana ili kuongeza vipengele vipya kwenye albamu yako ya picha. Ikiwa na uvutaji thabiti wa kidijitali wa 10x, sasa unaweza kupata picha safi za karibu zaidi na hata zenye vipengee zaidi.

Selfi Yako ya Ajabu

Phantom8 nails low-light selfie easily. Because it is designed to do so. The ultra pixel enables the phone to take a selfie with 2.0μm pixel effect. Pairing with a large F/2.0 aperture, it ensures more light onto the lens. Using “4 in 1” technology, which means four times of light allowance for an individual pixel sensor and an individual image. As a result, the final image is much brighter.

Furahia Usiku Wako wa Ajabu

Kila usiku wa kawaida unaweza kuwa usiku wa ajabu. Flashi ya selfi ya hali mbili itakuokoa sana kwa sababu inaangaza uso wako kwa njia mwafaka hata katika hali za mwangaza mchache. Na teknolojia mpya zaidi ya kuunda picha inazidisha hata zaidi - inagundua rangi ya ngozi yako na kutoa kiwango sahihi cha mwangaza ili kuhakikisha mwonekana asilia zaidi.

Wewe Ndiye Unaangaziwa

Kila mtu ana wakati wake wa kung’aa. Kwa kutumia utendaji wa kuweka fokasi tena kiotomatiki, Phantom8 inaweza kusoma taarifa ya kina cha eneo na kutenganisha sehemu ya nyuma na sehemu za mbele ili kuweka wahusika wakiwa wameangaziwa na sehemu za nyuma zikiwa na ukungun kwa njia maridadi.

The Power to Do More

6GB of RAM of Phantom8 stacks up nicely against the rest of the flagships. It capacitates multi-tasking of about 80 apps without interference. Powered by all-new LPDDR4X standard, the phone enables way faster data transmission speed - 70% snappier than the last generation - and consumes 50% less power easily.

Unparalleled Experience

Phantom8 is designed to stay connected wherever you go. Multiple bands it supports let you easily roam in about 200 countries and regions. Also, featuring LTE Cat 6, the phone provides speed up to 300Mbps for data downloading - 50 percent faster than the last generation.

Yenye Nguvu Kiajabu

Ikiwa na kisindikaji cha P25 cha MediaTek, inaendesha shughuli kwa haraka zaidi kuliko Phantom yoyote iliyotangulia. Iwe unavinjari mtandaoni, unatiririsha video, unacheza michezo, au unashughulikia biashara, yote yanafanyika kwa haraka upesi. Kwa usaidia wa ubunifu wa kisindikaji cha 16nm kinachotumia nishati chache zaidi, kisindikaji hiki hakitaumiza betri yako tena, kinakuhifadhia nishati kwa ajili ya jambo lingine muhimu zaidi.

Kuchaji Haraka Upesi kwa Pande Zote Mbili kwa Type-C

Phantom8 inatumia teknolojia mpya zaidi ya TECNO ya kuchaji haraka upesi. Kwa sababu inachukua tu dakika 70 kuchaji kikamilifu, hauhitaji kubeba kihifadhi nishati unaposafiri. Uwezo wa kuchaji kwa upande wowote wa Type-C kunarahisisha mchakato wa kuchaji hata zaidi. Shika upande wowote wa kebo ukiwa juu na uunganishe bila kupoteza wakati.

Endesha Shughuli kwa Urahisi

Ikiendeshwa kwa AndroidTM 7.0 mpya kabisa, Phantom8 ina zana nyingi muhimu ili kuweza kusimamia vyema zaidi kifaa chako unachokipenda. Mkuu wa Simu inakusaidia kuchanganua na kuondoa kwa njia salama faili taka zinazochukua kumbukumbu na hifadhi yako. Safisha kwa mguso mmoja, tengeneza nafasi na uimarishe kasi ya simu yako. Pia, usimamiaji kipengele cha kuanzisha programu otomatiki kinakuwezesha kukataza programu ambazo si muhimu au ambazo hautaki kutoanzishwa kiotomatiki, kuimarisha simu yako na kuiweka ikifanya kazi bila matatizo.

The Exclusive Gifts