[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Tazama Zaidi, Vinjari Zaidi

POP 2 Plus inakuja na skrini mpya kabisa ya IPS ya 6” inayokuletea eneo pana zaidi la utazamaji. Unaweza kuvinjari maudhui zaidi kwa kubiringiza kidogo. Jifunze na vinjari kwa umaridadi zaidi kupitia POP 2 Plus.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Ufanisi Uliokamilika

Kwa kuwa ina kumbukumbu ya 16GB, unaweza kuhifadhi kumbukumbu zadi zisizosahaulika na faili muhimu zinakuwa mkononi kwa urahisi. Utekelezaji murwa na halisi unaifanya POP 2 Plus iwe mshiriki wako mwenye nguvu kila siku.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Betri Kubwa ya 5000mAh, Muda Mrefu wa Kutumia

Ikiwa na betri kubwa ya 5000mAh yenye nguvu, POP 2 Plus inatoa huduma ya simu iliyotulia na ya kudumu. Hutojali sana kuhusu uishaji wa betri ili upate kujiburudisha zaidi. Kupitia POP 2 Plus, unaweza kujiburudisha kwa urahisi hata ukiwa njiani.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Huduma ya Kimaajabu ya Picha Binafsi

Picha picha binafsi zenye ubora zaidi na rekodi kumbukumbu murwa zaidi kwa kamera ya Mbele ya 8MP ya POP 2 Plus.
Pia, kwa kujihami na kamera ya nyuma ya 5MP yanye mieko miwili, picha zinazopigwa na POP 2 Plus zitakuwa hai na za kuvutia. Mara hii, tunasasisha kamera ya uzuri ya AI kwenye POP 2 Plus mpya, ambayo inalenga kukupatia huduma ya kimaajabu ya picha zako.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Alama Maizi ya Kidole

Fungua simu yako papo hapo kwa mguso mmoja tu. Ikiwa na sensa ya alama ya kidole, POP 2 Plus inakupatia ulinzi wa faragha na usalama mpya baada ya wewe kurekodi maelezo yako ya alama ya kidole na kuanzisha shughuli.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Kufungua kwa Uso kwa Upesi

Fungua POP 2 Plus kupitia "uchanganuzi wa uso". Rekodi maelezo yako ya uso, POP 2 Plus itajifunza na itatambua uso wako unapowasha mwangaza wa simu yako na kuifungua papo hapo. Hatua muhimu sana hadi kuwa na simu mahiri na salama zaidi, ambayo inatoa huduma ya mtumiaji iliyo mpya kabisa.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Usanifu Mwembamba wa Kimtindo

POP 2 Plus inarudi na mifuniko mitatu ya nyuma inayovutia na iliyosanifiwa vizuri, miongoni mwa mifuniko hayo ni Nyeusi ya Nebula ambayo ni jaribio letu la uvumbuzi. Usanifu mwembamba unaifanya iwe rahisi na nzuri zaidi kuishikilia POP 2 Plus. Mwonekano wa kimaajabu na usanifu wa kimantiki unachangia kuifanya iwe "tofauti" na zingine.