Nguvu ya Kuleta Tofauti
Ikiwa na betri kubwa ya mAh 5000, Pouvoir 2 Pro imeundwa kudumu kwa hadi siku 4 bila kuchaji, ili uweze kufurahia mtindo wako wa maisha. Ukitumia teknolojia mpya kabisa ya TECNO ya uokoaji nishati maizi, inakuwezesha kucheza kichezo kwa saa 24 au kutazama video kwa saa 30 bila kuchaji tena.