[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Betri yenye 5000mAh, Burudani Isiyo na Mwisho.

Betri ya 5000 mAh inasambaza nguvu nyingi za kutosha na kukupa uhuru wa siku 4 za utendakazi mfululizo, hadi masaa 43 ya kupiga simu papo hapo na hadi masaa 22 ya kucheza video. Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kuhusu tatizo la betri, furahia burudani kubwa zaidi isiyo na mwisho.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

32GB ROM Kubwa

Ukiwa na 32GB kubwa ya kumbukumbu ya hifadhi, unaweza kuweka faili na data muhimu unayoweza kufikia haraka. Pouvoir 3 hukuruhusu kuhifadhi mambo mengi zaidi huku ukiendelea kufanya mambo mengi zaidi.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Furahia Zaidi kwa 6.2" Super FULLVIEW

Ikiwa na 6.2" Super FULLVIEW, Pouvoir 3 inakupa mwonekano wenye nguvu zaidi. Utumiaji wako wa simu ya mkononi kila siku utakuwa wa kuvutia, furahia zaidi kwa 6.2" super FULLIVEW.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

13MP Mbele + Kamera ya Al ya Nyuma ya 13MP

Ikiwa na hali maridadi ya Al, Pouvoir 3 inaweza kutambua vipengele vyako na kuvirembesha kwa kutumia algorithi imara zaidi na mwangaza wa mbele unaoweza kubadilishwa na kupata picha zinazovutia sana kwa urahisi. Ukiwa na AL HDR, picha inayoathirika zaidi itakarabatiwa kiotomatiki. Inaweza kuangazisha mistari bora sana ya nyuso ili kutoa picha za asili na zinazovutia. Ubora wa mwonekano wa picha hukufanya kuwa wa kuvutia katika kamera. Pouvoir 3 pia ina kichujio cha wakati halisi, ikiwemo mitindo minane tofauti, ambayo ni Fresh, Forest, Flame, Classic, Warm, Blues, Soft, Mono, inayotimiza mahitaji tofauti ya urembo.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Imeundwa ili kuvutia

Pouvoir 3 ina wembamba wa mwonekano wa mm 3.8 unaovutia, ambao unaonyesha urembo katika ulinganifu. Inatumia teknolojia ya uchakataji mahiri na ufundistadi wa kiwango cha juu kuunda simu kwa muundo laini. Imeundwa ili kukuvutia kwa kila njia. Jalada la nyuma linalong`aa kwa rangi za Midnight Black, Champagne Gold na Aqua Blue.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Kufungua Haraka Ukitumia Uso

Washa skrini yako, iangalie na ufungue simu! Kwa kutumia teknolojia mpya na salama, unaweza kufungua simu yako haraka sana. Ni njia salama na ya haraka zaidi kufungua simu.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Kitambuzi cha Alama ya Kidole Haraka

Fungua simu yako papo hapo kwa mguso. Kitambuzi cha alama ya kidole kilichowekwa ndani hufungua simu yako kwa sekunde chache, haraka na salama.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

Spika ya FM

Pouvoir 3 hutumia hali za spika na spika za masikioni. Unaweza kusikiliza kipindi cha redio kwa sauti ya spika inayovutia sana. Pouvoir 3 hurahisisha kuliko wakati mwingine wowote kufurahia kipindi cha redio unachokipenda bila ya kuhitajika kuchomeka spika za masikioni.

[Translate to 10tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语:]

AR Emoji

Inaweka pamoja hisia za binadamu na hisia za 3D kupitia teknolojia ya AR na huunda picha za vibonzo zinazobadilika ambazo zimepachikwa katika ucharazaji wa maandishi ambayo ni njia rahisi ya kutumia wakati wa kupiga gumzo na familia na marafiki.