Betri ya 5000mAh, Hadi Siku 4
Ikiwa na betri kubwa ya 5000mAh, Pouvoir 3 Air inaweza kubakia na chaji hadi siku 4 za matumizi ya kawaida. Muda mrefu zaidi wa matumizi ya simu bila kuwa na wasiwasi wa chaji kuisha. Betri yenye nguvu inayokupatia matumizi ya simu yaliyo salama zaidi na ya kudumu.