Kamera ya Mwangaza ya AI

Ina kamera mpya zaidi na mchakato bora wa taswira na picha zilizopigwa kwa SPARK 3 ni angavu na safi sana. Vichujio vya ndani vinaweza kuboresha sura hata kwenye mwangaza hafifu. Kwa kamera yenye mwangaza wa nyuma wa 13 MP unaweza kunasa matukio bora unapotaka. Kamera ya nyuma ya dual inatoa uketo bora wa madoido ya eneo. Kwa hali ya urembo ya AI, inaongeza ukubwa wa urembo asili kwenye umri wako, tabia ya ngozi u aina ya ngozi. SPARK 3 inakufanya umetemete katika kila picha.

Hifadhi Zaidi

Ukiwa na kumbukumbu ya hifadhi yenye ukubwa wa GB 16, unaweza kuhifdhi faili na data muhimu karibu nawe. SPARK 3 hukuruhusu kuhifadhi vitu vingi zaidi huku ukiendelea kufanya mambo mengi zaidi. 2GB RAM hukupa hali bora zaidi ya utumiaji wa simu.

Super FULLVIEW, Super Fun

Zamishwa kwa onyesho la 6.2" Super FULLVIEW lenye uwiano unaovutia wa skrini hadi kiini, linalotumia skrini nzima ya usafi tofauti na rangi inayovutia. Muundo usio na mpaka unatoa nafasi bora zaidi na pana ya kugundua mambo unapotazama TV au kuvinjari Intaneti.

Utendakazi wa Mwisho

Kichakataji cha 2.0 GHz quad-core huongeza kasi, matumizi na utendakazi na kuimarisha hali ya utumiaji wa mwisho. Na kwa CPU yenye nguvu na ROM kubwa na RAM, SPARK 3 hukuletea hali bora ya utumiaji wa simu mahiri ya haraka, thabiti na bila matatizo.

Android ya Hivi Punde™ 9 Pie

Mfumo wa hivi punde wa Android™ 9 Pie umeboresha kila kipengee cha mfumo ili kufanikisha maisha yako zaidi. Na kulingana na mfumo mpya wa android, HiOS 5.0 ni bora zaidi kwa mtumiaji na rahisi, inayokuletea ufanisi mkubwa na hali ya mtumiaji iliyoboreshwa zaidi.

Ufunguaji wa Uso kwa Haraka

Angaza skrini yako, angalia kwenye skrini, washa simu yako! Kwa kutumia teknolojia mpya na salama, unaweza kuwasha simu yako papo hapo kwa kuangalia tu. Salama na kasi zaidi!

Kichakataji cha 2.0 GHz quad-core huongeza kasi, matumizi na utendakazi na kuimarisha hali ya utumiaji wa mwisho. Na kwa CPU yenye nguvu na ROM kubwa na RAM, SPARK 3 hukuletea hali bora ya utumiaji wa simu mahiri ya haraka, thabiti na bila matatizo.

Washa simu yako papo hapo kwa mguso. Kitambuzi cha alama ya kidole kilichounganishwa huwasha simu yako kwa sekunde chache, haraka na kwa usalama.

Muundo wenye Mng`ao

Imechochewa na mawimbi angavu ya mwangaza, SPARK 3 ina jalada la nyuma lenye mng`ao. Muundo wenye mng`ao unachukuana na mabadiliko ya mitindo ya hivi punde. Umbile asili la usanii, kioo kilichoboreshwa vinatoa mguso na hali patanifu na kuleta msisimko wa aina yake. Hii ndiyo hali ya urembo.