Super FULLVIEW, Super Fun

Zamishwa kwa onyesho la 6.2" Super FULLVIEW lenye uwiano unaovutia wa skrini hadi kiini, linalotumia skrini nzima kliaa tofauti na rangi inayovutia. Muundo usio na mpaka unatoa nafasi bora zaidi na pana ya kugundua mambo unapotazama TV au kuvinjari Intaneti.

Muundo wenye Mng`ao

Imechochewa na mawimbi angavu ya mwangaza, SPARK 3 ina jalada la nyuma lenye mng`ao. Muundo wenye mng`ao unachukuana na mabadiliko ya mitindo ya hivi punde. Umbile asili la usanii, kioo kilichoboreshwa vinatoa mguso na hali patanifu na kuleta msisimko wa aina yake. Hii ndiyo hali ya urembo.

Urembo Wako Wakipekee

Kamera mpya ya mbele ya 8MP iliyoboreshwa inaleta algorithi mpya ya kuifanya picha ya kujipiga kusisimua na kuuleta urembo wako wa asili. Kwa hali ya picha, maelezo zaidi yanaweza kunaswa. SPARK 3 hufanya urembo wako kuvutia kwenye umati, hukufanya ung`ae kila wakati.

Nasa Wakati Adhimu

Ikiwa na kamera ya nyuma yenye 13MP, SPARK 3 inaweza kurekodi maisha yako mazuri sana wakati wowote, mahali popote. Pamoja na ring flash, unaweza kunasa wakati adhimu hata katika hali yenye mwangaza hafifu.

Ufunguaji wa Uso kwa Haraka

Angaza skrini yako, angalia kwenye skrini, washa simu yako! Kwa kutumia teknolojia mpya na salama, unaweza kuwasha simu yako papo hapo kwa kuangalia tu. Salama na kasi zaidi!

Kitambuzi cha Alama ya Kidole kwa Haraka

Fungua simu yako papo hapo kwa mguso. Kitambuzi cha alama ya kidole kilichounganishwa hufungua simu yako kwa sekunde chache, haraka na kwa usalama.

Android™ 8.1(Go Edition)

Ukiwa na mfumo wa AndroidTM 8.1, kila kipengele cha mfumo kimeboreshwa ili kuyafanya maisha yako kufana zaidi. Ni bora zaidi kwa mtumiaji na rahisi, inayokuletea ufanisi mkubwa na hali ya mtumiaji iliyoboreshwa zaidi.