Skrini ya Mkato wa Nukta ya 6.1" HD+, Mwonekano Kamili, Upeo Mpana

SPARK 4 Air inatumia usanifu mpya kabisa wa Skrini ya Mkato wa Nukta ya 6.1" HD+, onyesho la mwonekano kamili na mwonekano wa juu zaidi zinakupatia uzoefu bora wa kuona. Kupitia uwiano murwa wa skrini, unaweza kuvinjari maudhui zaidi kwa kubiringiza kidogo, ambayo inakupatia uzoefu halisi wa utazamaji wa sinema na kuboresha burudani unayopata.

Kamera Mbili za Nyuma za 13MP, Kamera Angavu ya AI, Kuwa nyota Ang'avu

Ikiwa na Kamera mbili za Nyuma za 13MP na Kamera ya Mbele ya 5MP, SPARK 4 inafanya vizuri kwenye upigaji picha nzuri, athari ya bokeh na hali ya picha ya uso ya AI. Picha zitakuwa maridadi zaidi baada ya kupodozwa kwa kanuni pepe ya "Kamera ya 5.0". AI HDR inaepuka kwa ufanisi ufichuzi kupita kiasi wa sehemu za mwangaza na inaonyesha wazi vipengele vilivyoko gizani. Kwa kuboreshwa Athari ya picha ya uso ya bokeh 2.0, usahihi wa kutia ukungu kwenye mandhari tata ni bora, na athari ya bokeh inakuwa ya kiasili na halisi zaidi, ikilinganishwa na athari ya kamera mahiri. Kwa Urembeshaji wa 3.0, ngozi inaonekana laini na ang'avu zaidi, na imekuwa kanuni pepe ya kwanza kibinafsi ya urembezaji uliobinafsishwa kwa ngozi nyeusi. Kwa usaidizi wa tochi zilizojificha kwenye skrini ya mkato wa nukta, wakati huu, utakuwa unang'aa kwa kumbukumbu zote.

2GB RAM + 32GB ROM , Quad-Core Processor , 
Beyond Your Expectation

With 32GB ROM, there is more space for you to store your favorite memories and important files. 2GB RAM offers you a faster and more fluent performance with our system. Quad-Core processor presents lower power consumption and faster running speed. Chatting with friends, listening to music, taking selfie, browsing websites or even playing games at the same time, SPARK 4 Air will still work smoothly.

Smart Fingerprint

Unlock your phone instantly with just a single touch. Equipped with fingerprint sensor, SPARK 4 Air gives you new security and privacy protection after you record your fingerprint information and start the function.

Kufungua kwa Uso 2.0 , Ufunguaji Salama Zaidi

Fungua simu yako kwa upesi kupitia "uchanganuzi wa uso". Rekodi maelezo yako ya uso, SPARK 4 Air itajifunza na itatambua uso wako unapowasha mwangaza wa simu yako na kuifungua. Kupitia “Utambuzi wa Macho Yaliyofumbwa” iliyoongezwa upya kwenye toleo la 2.0, huna wasiwasi wa kufungua simu yako unapokuwa unalala au unapokuwa umefumba macho.

Video Chat Beauty Mode, Shining Everytime

No need for makeup, this time, we also upgrade video chat beauty mode on camera, which can make you shine in the video chat, adding more fun when chatting with friends.