Maridadi, Mkononi Mwako

DroiPad 7D imeundwa kwa msokotano wa Kevlar na ncha zilizokunjwa, na kufanya kifaa kuwa maridadi na nyembamba zaidi unavyoona.

Mtazamo Mpana Zaidi

DroiPad 7D imeundwa ikiwa na skrini ya IPS ya pembe pana ya digrii 170 inayokupa mtazamo wa ajabu na ung’aavu unaoashiria huduma ya tableti.. Furahia vipengee kwa kina kiajabu unapotazama filamu pamoja na familia.

Yenye Nguvu Zaidi

Prosesa ya quad-core ya GHz 1.3 kinaleta utendakazi ulioimarika na kufanya kila kitu kiendelea bila matatizo. Iwe ni kutazama filamu au kucheza michezo ya kufurahisha, furahia tu kasi na shauku.

Nougat - Android 7.0 ya Hivi Sasa Zaidi

Ikiwa na Mfumo Msingi wa Uendeshaji wa Android 7.0, DroiPad 7D imeundiwa watumizi wa Android na kutoa huduma ya juu zaidi. Mamilioni ya Programu za Android inaweza kutimiza mahitaji yako.

Kuwa Mahali Mbili Wakati Mmoja

Vidirisha vingi vinakuruhusu kuendesha programu mbili pamoja wakati mmoja. Kwa hivyo tazama filamu huku mkitumiana ujumbe na marafiki wako.

Hifadhi Matukio ya Ajabu

Kamera ya nyuma ya MP 5 yenye flashi inakuwezesha kupiga picha na video ng’aavu zaidi na safi zaidi, hata katika hali za mwangaza wa chini.

Urambazaji wa Skrini Kubwa

Skrini ya inchi 7 inakuwesha ukurasa mkubwa zaidi na kufanya urambazaji kuwa rahisi zaidi.

Betri Inayodumu Muda Mrefu

Betri ya mAh 3000 inakupa hadi saa 9 za kuvinjari au unaweza kutazama filamu kwa hadi saa 8 bila wasiwasi kuhusu kuchaji betri tena.

Kidhibiti Nishati Imara

Teknolojia maizi ya kuokoa nishati inakupa wewe na familia yako muda zaidi wa kufurahia DroiPad 7D yako.

Eneo la Watoto

Unapofungua Eneo la Watoto, unaweza kusimamia maudhui na muda ambao watoto wako wanatazama video na kucheza michezo.

Kinga ya Macho

DroiPad 7D inaweza kuwezesha utendaji wa kulinda macho wakati wa usiku ambao utachuja mwangaza unaoweza kudhuru. Na unakuarifu watoto wako wanapotazama kitu chochote wakiwa wamejilaza..

Mitandao ya 3G

Mitandao ya kasi ya juu zaidi ya 3G inakuwezesha kuvinjari, kutiririsha na kushirikisha kwa haraka.

Redio ya FM bila Vipazasauti vya Masikioni

Unaweza kusikiliza FM bila kuunganisha vipazasauti vya masikioni.

SIM Mbili Zinazofanya Kazi Wakati Mmoja

Kadi Mbili za Sim zinakupa uhuru wa kuchagua huduma ya kiuchumi na mwafaka zaidi.