TECNO MOBILE IMEPATA MGAO WA 50% WA SOKO LA SIMU MAIZI BARANI AFRIKA

Ilianzia na simu ya mkononi ya SIM kadi mbili, T780 kutoka kwenye Tecno ili kuanzisha awamu mpya. Songa mbele miaka 7 baadaye baada ya uzinduzi wa T780, yaani, 2007 hadi 2014 na wauzaji OEM maarufu zaidi hawaamini huku mauzo ya simu maizi ya TECNO ikifikia vifaa milioni 45 mwishoni mwa Q4 ya 2014 na kufanya muuzaji huyu wa OEM kutoka Uchina kuwa muuzaji Nambari 1 Afrika wa simu maizi.

Ilianzia na simu ya mkononi ya SIM kadi mbili, T780 kutoka kwenye Tecno ili kuanzisha awamu mpya. Songa mbele miaka 7 baadaye baada ya uzinduzi wa T780, yaani, 2007 hadi 2014 na wauzaji OEM maarufu zaidi hawaamini huku mauzo ya simu maizi ya TECNO ikifikia vifaa milioni 45 mwishoni mwa Q4 ya 2014 na kufanya muuzaji huyu wa OEM kutoka Uchina kuwa muuzaji Nambari 1 Afrika wa simu maizi.

 

 

TECNO mobile iliyokomaa sasa ina mkakati mpya wa soko

Ripiti ya Julai 2015 kwenye jarida la The Guardian iliweka mgao wa mauzo ya simu maizi wa SAMSUMG, TECNO na Apple barani Afrika, Q1 ya 2015 kuwa 55%. Hili linaiweka bidhaa za TECNO mobile katika ushindani na bidhaa bora ulimwenguni na wakati huu gwiji wa OEM anatumia mkakati tofauti wa soko ili kujitofautisha katika ushindani.

“Katika TECNO mobile, lengo letu mpya ni kuonekana kama kiongozi katika burudani ya vifaa vya mkononi na mkakati wetu ni kulenga mahitaji maalum ya sehemu tofauti za soko kwa bidhaa zilizobinafsishwa. Kwa mfano, mwaka huu tumezindua simu yetu bora ya muziki na ya kamera, simu maizi za TECNO BOOM J7 na CAMON C8 ambazo zinalengwa kwa wanaopenda muziki na kupiga picha. Kwa msimamo wetu, kila kipengele muhimu cha simu maizi ambacho watumiaji wanafurahia, kinapaswa kuwa na simu maizi ya TECNO iliyoimarishwa kutoa huduma bora zaidi ya kipengele hicho sokoni”.

Simu ya TECNO kwa wanaopenda sauti

 

TECNO Mobile inaona siku kuu zaidi zijazo ambapo simu maizi zitahudumu kama chanzo pekee cha burudani kwa mamilioni ya vijana wa Afika wanaoishi mijini na imebinafsisha simu zake maizi kuwa chanzo cha burudani yao.

 

 

TECNO BOOM J7 inakuja na programu ya muziki iliyosakinishwa tayari, kichezaji cha Boom kinachowapa watumiaji ufikiaji wa nyimbo maarufu nchini na kimatiafa. Watumiaji wanaweza kupanga, kupakua au kutiririsha muziki teule, na maudhui kwenye kichezaji cha Boom ni yakulipiwa

 

“Kizazi kipya cha watumiaji simu cha Afrika kinafurahiua muziki na/au filamu zake kwenye simu zake maizi na hili linafanikishwa na hatua kubwa katika tenolojia ambazozimepelekea skrini za ubora wa juu kwenye simu maizi na muda zaidi wa kucheza video”. – Jesse Ogunhemin, Mkuu wa uuzaji wa kidijitali TECNO Mobile Nijeria.

Simu ya TECNO kwa wanaopenda picha

 

TECNO iliwafurahisha watumiaji simu za mkononi kwa simu ya CAMON C8, simu yake bora amabyo inajivunia kamera za kupiga picha kwenye mwangaza mchache zenye flashi mbili za LED.

 

 

 

Simu maizi za TECNO PHANTOM

 

Daraja hili la simu bora zaidi za TECNO linajumuisha vipengele vyote muhimu ambavyo zimo kwenye simu zile nyingine za maizi za TECNO kama vile kupoiga pichwa kwa mwanagaza mchache na ubora wa hali ya juu wa muziki katika simu moja maizi.

Simu mpya maizi ya TECNO PHANTOM ilizinduliwa mnamo Jumatano Septemba 16, 2015. Simu hii yaubora wa juu inatumia kihisio cha kwanza cha alama ya kidole kwenye TECNO Mobile.