Habari zote za TECNO ziko hapa
As the final match of this season goes to an end, we’ve glad to see Manchester City Football Club, our global partner, secure the Premier League crown for 2021/22 Season.
TECNO Mobile, in association with its Official Partner Manchester City, has launched a immersive mobile-first augmented reality experience that allows you to sign for the Premier League champions and win VIP tickets to the Etihad Stadium this season.*
TECNO Mobile, in association with its Official Partner Manchester City, will be launching an innovative mobile-first augmented reality experience this January that takes global audiences even closer to the current Premier League champions.
TECNO, a premium smartphone brand focused on emerging markets, is working with BBC Storyworks, BBC Studios’ in-house commercial content studio, who have created a short film The Future Lens: Looking Ahead With TECNO to explore the meaning of mobile camera innovation.
SUPER TECNO MOBILE PRIZES UP FOR GRABS WHEN MANCHESTER CITY MATCHDAY OVER THE NEW YEAR!
15 December 2021 | LOCATION — TECNO, a rising superstar as a global smartphone brand of the new generation, announced the release of a new virtual Random Access Memory (RAM) expansion technology for its users to increase the RAM capacity of their smartphones for optimal efficiency and processing power. This innovative technology will be available for CAMON 18 series and SPARK 8 series users in the next two weeks.
A premium smartphone brand focused on global emerging markets, TECNO, outlined an array of its latest technologies and achievements at a webinar entitled “Global Mobile Camera Trends 2022: Innovation Talk”. One eye-catching development was the use of Sensor Shift, which will improve stability in photos and video imaging.
TECNO, a key innovator in the mobile imaging ecosystem, discussed the future of imaging technologies with industry experts and shared recent company breakthroughs.
November 26, 2021 – During a webinar entitled “Global Mobile Camera Trends 2022: Innovation Talk”, experts in the field of optical imaging technology along with leading industry research analysts discussed how camera systems are evolving, and how they have become critical for OEMs as consumers place increasing importance on image capture.
Hivi karibuni, TECNO ilitoa simu yake mpya ya kamera, safu ya CAMON 15 kupitia hafla ya uzinduzi mkondoni. Huu ni uzinduzi wa kwanza wa bidhaa mtandaoni barani Afrika, na TECNO ilifunua mfululizo wake mpya wa CAMON 15 na kamera ya SONY na teknolojia ya alama ya biashara ya TaIVOS.
Kampuni kinara ya simu za mkononi ya TECNO, imezindua rasmi simu yake mpya CAMON 15 ambayo imesheheni sifa mbalimbali ikiwemo kamera ya nyuma yenye MP64 na mbele MP32 ambayo imewekewa teknolojia kubwa yenye uwezo wa kupiga picha mahali popote na wakati wowote.
Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza wa masomo, kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha kurudi mashuleni mnamo Tarehe 22.Feb.2020
Dar es Salaam, Tanzania, 25/7/2019- Kampuni maarufu ya simu nchini TECNO ikishirikiana na TIGO imezindua rasmi simu yao kubwa ya TECNO Phantom 9 ikiwa ni mwendelezo katika matoleo ya Phantom ikiambatanishwa na ofa ya GB 18. TECNO Phantom 9 ni simu ya kwanza katika upande wa TECNO Phantom series kuja na kamera tatu za teknolojia ya AI (AI triple) zenye 16MP+8MP+2MP.
January 2019, Dar es Salaam, Tanzania – TECNO Tanzania katika kampeni yao ya kuisaidia jamii iitwayo Kuwa Shujaa Wangu kwa kutoa michango katika kituo cha kulelea watoto cha Chanika. Zoezi hili ni muendelezo wa lile la awali lililofanyika mwaka 2018, Novemba. kampuni iliratibu uchangishaji wa misaada kutoka kwa wasamaria wema kupitia mitandao ya kijamii na maduka yote ya Smart Hub.
November 2018, Dar es Salaam, Tanzania – TECNO Tanzania ilizindua rasmi kampeni yake mpya iitwayo Kuwa Shujaa Wangu kama jukumu la kujitolea kuisaidia jamii (Corporate Social Responsibility). Kampeni hii ina lengo ya kuwashika mkono watu waliokatika mazingira magumu. Zoezi lilianzia kwenye kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Chanika Children Center kinachosimamiwa na Pannasekara Rev ILukpitiye, kiongozi wa dhehebu la Buddha Tanzania.
Nyongeza mpya zaidi ya TECNO Phantom inatoa picha halisi, za haraka zaidi, bunifu na maridadi kuweza kupigwa Dubai inatenda kama kituo cha uzinduzi wa kanda cha TECNO, mtengenezaji simu maizi anayeongoza
Lagos, Agosti 7, 2017 –TECNO Mobile, bidhaa ya hali ya juu ya simu ya mkononi leo imetangaza rasmi msururu wake mpya wa simu maizi: TECNO SPARK na SPARK Plus. Msururu huu mpya wa simu maizi unalegwa kwa mgao wa soko wa simu maizi wastani ukiwa na vipengele shindani ambavyo “vinazidi matarajio yako” kwa njia kubwa na kuuzwa katika bei nzuri.
Lagos, Julai 10, 2017 — TECNO Mobile, mtengenezaji simu za mkononi anayeongoza na ‘Mbia Rasmi wa Tableti na Simu wa Klabu ya Kandanda ya manchester City’, imezindua simu yake maizi ya toleo la Manchester City la Camon CX.
Nairobi, Kenya, Machi 23, 2017 -Bidhaa ya hali ya juu ya simu ya mkononi, TECNO Mobile, leo imezindua simu yake mpya zaidi kuzinmduliwa katika soko la Afrika katika tukio jijini kuu la Kenya, Camon CX.
Manchester, 30 Novemba – Bidhaa ya hali ya juu ya simu ya mkononi, TECNO Mobile, Manchester City ya Ligi Kuu ya Uingereza, leo wanasherehekea uzinduzi wa ushirikiano wao mpya wa kiulimwengu wa miaka mingi.
Tukio la ajabu lilihudhuriwa na vyombo 80 vya habari vya nchini na vya kimataifa kama vile Al Khaleej, Emirates news, Gulf News, Deutsche Presse-Agentur DPA, Xinhua News Agency n.k.
TECNO, Lagos – Bidhaa inayoongoza ya simu maizi na simu za kawaida, TECNO inaangazia tena mkakati wake wa uuzaji ili kuchukua soko la Mashariki ya kati na Amerika Kusini kufuatia mafanikio katika soko la Afrika. Kiongozi wa Uuzaji na Mahusiano wa TECNO, Attai Oguche, alithibitisha ripoti za kuwa na mgao mkubwa zaidi wa soko katika masoko sita ya Afrika yakiwa ni: Naijeria, Ghana, Kenya, Ethiopia, Tanzania and Kameroon katika Uzinduzi wa Kimataifa wa TECNO katika jengo la Burj Khalifa, Dubai.
Ilianzia na simu ya mkononi ya SIM kadi mbili, T780 kutoka kwenye Tecno ili kuanzisha awamu mpya. Songa mbele miaka 7 baadaye baada ya uzinduzi wa T780, yaani, 2007 hadi 2014 na wauzaji OEM maarufu zaidi hawaamini huku mauzo ya simu maizi ya TECNO ikifikia vifaa milioni 45 mwishoni mwa Q4 ya 2014 na kufanya muuzaji huyu wa OEM kutoka Uchina kuwa muuzaji Nambari 1 Afrika wa simu maizi.