Kishika simu kwa ishara

Upokeaji Hewani / Kataa Simu

Inakuruhusu ujibu simu kwenye simu yako ya TECNO bila kugusa skrini wala hata kuigusa simu. Tumia ishara rahisi ya V tu ili kujibu simu na ishara ya Kiganja ili kukataa simu. 

Utambuzi wa macho kufumbwa

Kataa kufungua kwa uso wakati macho yamefumbwa,ili kuzidi kudumisha usalama wa simu yako

Hakuna mtu anayeweza kufungua simu yako kwa kuchanganua uso wako ikiwa ulikuwa umefumba macho yako.  Itaboresha sana usalama wa simu yako ya mkononi.

Kuweka Upya Nenosiri la Alama ya Kidole

Weka upya nenosiri lako la skrini kwa hatua 3

Inasuluhisha tatizo la wewe kusahau nenosiri kwa sekunde chache, kwa kukupatia Kuweka Upya Nenosiri la Alama ya Kidole

Urembo wa Video wa AI

Vipodozi Otomatiki iko tayari kwa gumzo la video

Hakuna haja ua vipodozi, Urembo wa Video wa AI inaweza kukufanya ung'are na uonekane mchanga, ang'avu na mcheshi zaidi. 

Kisaidia Michezo

Kikusanya shughuli zinzotokea mara nyingi

Kinakuruhusu uzitumie kwa urahisi na kwa sekunde 3 shughuli zote zinazotokea mara nyingi. Unapokuwa unacheza Michezo, unaweza kuenda ndani ya programu zinazotumiwa sana kama vile Google Search na njia mkato kama vile ujumbe, usisumbue, Hali ya WIFI:, ukataaji simu, hali ya ukuzaji, na kusafisha hifadhi.

Dirisha Linaloelea la Mchezo

Dirisha la Pili ni la kuubakisha mchezo mtandaoni

Huna haja ya kuwa na wasiwasi kuhusu kukatizwa na ujumbe au simu za WhatsApp kwa usaidizi wa Dirisha Linaloelea. Unaweza kuitumia ili kujibu kwa upesi ujumbe muhimu au kuvinjari vidokezo vya michezo kwenye kivinjari chako bila kulazimika kuondoka kwenye skrini ya mchezo.

Uboreshaji wa Hali ya Mchezo

Uboreshaji kadhaa ili kuhakikisha kuwa unapokea uzoefu tumbukizi wa Mchezo

Unda Nafasi Tupu, Kuza Mchezo na Harakisha Mtandao unapokuwa unacheza michezo. Hutotambua mabadiliko mpaka kwa namna fulani ugundue kuwa uzoefu wako wa mchezo umekuwa hausumbuki na unaburudisha zaidi. 

Uboreshaji Simu

Bakia kwenye Mchezo wakati wa Kujibu Simu

Kwa machaguo mapya ya Uboreshaji Simu, unaweza kujibu au kukataa simu bila kuhitaji kurudi kwenye kiolesura cha upigaji simu. Kwa njia hii, Uzoefu wa mchezo usiokatizwa uko tayari unakungojea!